Monday, June 18, 2012
MOJA YA MTAA MAARUFU JIJINI NAIROBI
Mbali na maeneo mengi nilyotembelea mjini Nairobi kuwa yako safi na yanavutia lakini bado jitihada kubwa ya miundo mbinu ya barabara kwa baadhi ya maeneo zinahitakijika kwa lengo la kuupelekea mji wote kuwa katika hali ya kufanana.
Picha unayoiona hapo juu ni mtaa maarufu sana kwa wafanyabiashara mbalimbali ambao upo nje kidogo ya mjini na hiyo ndio barabara inayopita daladala zinazotoka mjini kuelekea huko (kibongo bongo hii ni kariakoo) mtaa huu wote ni mchafu kama unavyoonekana hapo na ni hali inayowapa shida watembea kwa miguu kama unavyoona wanakatisha barabara hiyo kwa shida sana kutokana na tope zinazojitokeza wakati wa mvua...Cont...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments