Saturday, October 26, 2013

CMB Prezzo aachia wimbo mpya Marry marry feat Sappy


Kutoka nchini Jackson Makini aka CMB Prezzo ameachia wimbo wake mpya "MARRY MARRY" feat Sappy.

This is the 3 rd single for this year 2013 after his previous hits released “LiqHer” & “Celebration of Life”

The song is written by CMB PREZZO and was produced and mixed by SAPPY – HOME BOYZ PRODUCTIONS – NAIROBI, KENYA.

Wimbo huo mbali na kuchezwa katika vituo vya redio pia tayari unapatikana katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

Download RikyWayne & FidoVato ft Defxtro-Hot


Gal HEREna kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na RikyWayne kupitia +255 718 229 154 RikyWayne & FidoVato ft Defxtro-Hot Gal

Kwa waliokosa kuchek FNL (Friday Night Live) tarehe 20 Sept,check out


May C aka MayChedda's interview HAPA akitambulisha official video ya wimbo wake, "Rudgalz" na kuzungumzia changamoto katika muziki na pia mipango yake mipya katika sanaa. Pia Download audio ya Rudgalz HAPA

MayChedda EATV interview

MayChedda-Rudgalz

Mankhain toka West Pasu "Donge"


Msanii Mankhain toka West Pasu pande za Kilimanjaro mjini Moshi, akiwa amemshirikisha Chozi katika ngoma aloipa jina "Donge",production ya Noizmekah Studios Arusha kwa Defxtro, pata kusikiliza/Kudownload HAPA