Tuesday, September 28, 2010

WAZANZIBARI, KWANI HAYA YANAMILIKIWA NA NANI? MBONA HAYAKUMBUKWI AU HAYANA MWENYEWE NINI?

Jamani hapa ni maeneo ya Kikwajuni Zanzibar, kuna watu wanaishi katika Magorofa haya problem ni nini mpaka yapo hivi au ndio msisitizo wa kwamba ni urithi? Hebu serikali ijaribu kuya pa pa! angalau yapendeze au mnaoishi humo kama vipi jichangeni basi myapendezeshe au vipi jamani?

WAKATI MWINGINE NI KAMA UCHAFUZI WA MAZINGIRA

Hatimae gari limegeuka kuwa Tool Box

Sunday, September 5, 2010

UNA BISHA?

Hili ni jambo ambalo mtu huwezi kuliamini mpaka utapoloishuhudia.
Tunafahamu mbwa hana kawaida ya kuingia baa lakini kwa kizazi cha now mbwa baa wataingia tu hali ndio inaanza, Jiulize mara ngapi umeshakaa baa pembeni akatokea nyau aka paka Je wakianza nao tabia hii Bia zetu zitapona kweli?

WATAKA LIPIWA WEIYEE?

Haya huko kitaa mpango mzima ndio kama huo