Monday, March 7, 2011

HABARI NDIO HIYO

tuku tuku za ulaya
Hii ni new staili ya kusikiliza radio kwa kutumia betri ya gari kuepuka gharama
choo saaafiiiiiii

MWENZANGU MTANI KUNA MAKUBWA.............

Huwezi kusikia maumivu kwa muda huu.....
Sio ishu now dayz kwa jinsia moja ku du like this
KAMA PUTO HIVI......

Wednesday, January 12, 2011

MAGOMENI AKA MIGO MIGO YA ZENJI

HAPA PANAITWA MAGOMENI SOKO LA SAMAKI
Tindi ndi ndi ndiiiiiii.......Picha linaanza
Hili ndio soko la samaki la magomeni
Kina mama wakiweka vizuri mizigo yao ya kuni za magamba ya mnazi tayari kwa kujitwika
Haya ni mambo ya kawaida uswazi
Kitu chauliza
Wakati mwingine unawza kusema kwa mtanzania kuishi maisha haya ni kawaida lakini kwa upande mwingine Serikali haina buni kuwageukia watu kama hawa na kuwapatia msaada

Is this life????

Bado niliendelea kushangazwa na hii staili ya nyumba za mitaani. Nyumba zote madirisha yake yamezibwa nusu nikaendelea kuchochora.

Uchochoro......
Uzalendo ulinishinda nikaweka kambi kwa wadau ambao ndio wenyeji wangu wa mtaa huo na kuanza kuwadodosa sababu za nyumba zao kuziba nusu madirisha.... mwenzangu sababu kubwa niliyopewa eti 'CHABO' tena sio za watoto za watu wazimaaa..


Umeona mambo hayo!!!

Kisa nini CHABO

Haya nayo ndio hivyo tena ukianza kujenga uswazi usiombe uishie njiani.. kitachokutokea ndio kama hivi.



Mara nyingi huwa tunaona shoti za umeme zinatokea bila ya kujua sababu, kumbe hawa ndege wanojenga kwehye nyaya za umeme huennda ikawa sababu ya shoti hizo haya wahusika kazi kwenu huku mitaani mambo ndio kama hivi nguzo za umeme zimekuwa nyumba za ndege.