Thursday, August 15, 2013

Usijenge urafiki na mbu atakuua

Rico Single akishow love na anko

Dj Dr b akiwa akiwa na msanii wa vituko show Ericky


Siku zote urafiki unaanzia popote mtapo kutana na kujumuika pamoja.
Hapa ni baada ya kukutana batani Dj mkali maarufu kama Dj Dr b na msanii Ericky kutoka kundi linalovuma sana la Vituko Show kupitia chanel ten.
Waliamua kushow love baada ya kufahamiana kwa ukaribu zaidi wakiwa wote wapo katika tasnia ya burudani.

V wa kipochi ft Gfaya faya - Fungua pochi


Msanii anayewakilisha vema sanaa ya Muziki mjini Rombo, Moshi kwa jina AfterJmos anakuja na kundi jipya "V WA KIPOCHI" na ngoma mpya "Funguaga Pochi" bofya HAPA & download endelea kusupport muziki wa Tanzania daima, powered by www.vmgafrica.com