Siku zote urafiki unaanzia popote mtapo kutana na kujumuika pamoja.
Hapa ni baada ya kukutana batani Dj mkali maarufu kama Dj Dr b na msanii Ericky kutoka kundi linalovuma sana la Vituko Show kupitia chanel ten.
Waliamua kushow love baada ya kufahamiana kwa ukaribu zaidi wakiwa wote wapo katika tasnia ya burudani.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments