Kama bado hujapata video mpya ya Belle 9 aliyomshilikisha Joh Makin itwayo Vitamin Music iangalie sasa kwa kuifata link YouTube, Mastaa wengine walioonekana kwenye video hii ni pamoja na JOTI wa Zekomed anaonekana akiudumia wagonjwa wenye ukosefu wa VITAMIN MUSIC Hospital na kwa kunogesha pia anaonekana Rapa Young Dee. “Belle 9 Featuring Joh Makini - Vitamin Music Official Video” — Produced by Mona Gangstar - Classic Sound Directed by Khalfan Bamushka
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments