LEO NI SIKU YA MAADHIMISHO YA WATU WENYE ALBINO DUNIANI nachukua fulsa hii ya kuwaomba watanzania mniunge mkono juu ya mapambano haya kwa kudownload nyimbo hii na kuisambaza ilitupinge mauaji ya ndugu zetu...please please usi like tuu nakuipita picha hii download nyimbo hii BUREE AU KWA KULIPIA SH 250/= kutoa mchango wako kwenye mapambano haya.. Kwa pamoja tunaweza.. DOWNLOAD HAPA https://mkito.com/song/ 11609
Today is world albinism day please join me the fight agaist killing of albinos by downloading my song and share it to join the movement DOWNLOAD THE SONG HERE https://mkito.com/song/ 11609
COMMENT NAMBA YAKO TUKUTUMIE WHATTSAPP AU TUTEXT NAMBA YAKO INBOX TUKUTUMIE NYIMBO. KAMAUNAPENDA KUCHANGIA VIDEO SHOOTING TUTEXT HAPA 0628 602 863
Ujumbe huu kutoka kwa Kapuku digital nimeupost kama alivyotutumia sapoti yako ni muhimu katika kupinga mauaji ya ndugu zetu.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments