Thursday, September 5, 2013

AY achaguliwa tena kutwania tuzo za Chanel 0 mwaka huu


Nguli wa muziki wa kizazi kipya Tanzania, Ambwene Yesaya (AY)
ametajwa kuwa miongoni mwa wasanii watakao
wania tuzo za muziki Channel O, kwenye kundi
la kutafuta Video Bora Ya Mziki Afrika
Mashariki (Most Gifted Video East Africa).
AY atashindania tuzo hio na wasanii
wengine ambao ni P-Unit feat. Collo- You Guy
(Dat Dendai), Radio and Weasel- Can’t Let You
Go, Sauti Sol- Money Lover, Navio- Kata.
Na A.Y akiiwakilisha Tanzania na nyimbo
yake ya Party Zone aliomshirikisha muandaaji wa muziki wa MJ rec. Marco Chali.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments