Msanii Ruler toka crew ya MIB pamoja na Nutcracker wakiwakilisha umoja wa Vichwa Pamoja, Sakina kwa Iddi pande za Arusha,wamshirikisha legendary SpacDawg katika ngoma yao mpya "Peperusha Beef" ilosukwa pande za Noizmekah Studios,
download HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Ruler wa MIB kupitia +255 752 513 923
www.vmgafrica.com -Ruler ft SpacDawg & Nutcracker-Peperusha Beef
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments