Victor John aka Veejay msanii chipukizi katika muziki wa injili, amebarikiwa kukamilisha album yake ya kwanza na anafurahi kuwatangazia wapendwa katika bwana Album ya "Nimezaliwa Tena" inayotambulishwa kwa single ya MBELE KWA YESU,download
HAPA Album kamili ina nyimbo nane na tracks kumi jumla sasa itapatikana kote nchini kwa mawasiliano naye Victor John kwa simu nambari +255 716 941 696 ,Support Muziki wa Injili,Support Hiphop Gospel kwa kununua kazi halali
www.vmgafrica.com Victor John ft Catrina-Mbele kwa Yesu
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments