Wakubero aka Jeshi la Mbung'o wanadrop Bounce jipya kabisa kwa jina "Mwerevu siafu" toka studio za Noizmekah Arusha chini ya Defxtro, humu pia sauti za Maalmando zimesikika vizuri akiwemo Nigga C Pamoja na Ordinaly, Download ngoma
HAPA na kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na Wakubero
kupitia www.vmgafrica.com ---Wakubero ft JamboSquad-Mwerevu siafu
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments