PapaaDolaa & Chedu2R na ngoma "Michano" ikiwa ni Nafasi waliojishindia katika Msimu wa kwanza katika shindano la PUNCH KWA MTAA, inayoendeshwa na DJ Mwaka ndani ya MJ FM Radio,hawa ni wawili kati ya washindi wanane jumla katika Round ya kwanza zawadi kuu ikiwa ni Kurekodi nyimbo katika Studio ya Noizmekah. Pata kudownload
HAPAna kwa mawasiliano zaidi check na Papaa Dolaa kupitia +255 753 470 004
www.vmgafrica.com -PapaaDolaa & Chedu2R-Michano
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments