Friday, August 3, 2012

ANKO TA ASIMAMIA SHOW YA RUN THE BEAT KWA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI

Mtangazaji wa kipindi cha watoto (Cheichei Totoz) cha Coconut Fm Anko TA asimamia show ya Run the Beat kwa kipindi cha mwezi wa Ramadhani baada ya mtangaza wa kipindi hicho Yoram kupiga likizo ya wiki mbili kuanzia tarehe 3 mwezi 7.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments