Wednesday, August 22, 2012

MIKOKOTENI DILI KUBWA MKOA WA TANGA

Stendi kubwa ya waendesha mikokoteni na karibu kabisa na Railway Station kama unavyoina ilivyopangwa
Kazi kubwa inayofanywa na waendesha mikokoteni ni kubeba mizigo midogomidogo ya wafanyabiashara, wasafiri pamoja na wahamaji kutoke sehemu moja hadi nyingine, gharama zao ni nafuu ukilinganisha na gharama za kukodisha usafiri wa gari hali hiyo inapelekea biashara ya mikokoteni kuwa dili kila kukicha.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments