Thursday, August 23, 2012

WAKAZI WA MBAGALA WAONGEZEWA UPANA WA BARABARA

Barabara ya Mbagala ujenzi unaendelea

Mbagala ni moja sehemu yenye wakazi wengi sana Jijini Dar na kero kubwa ya usafiri inawakabili kutokana wingi wa watu na ufinyu wa barabara.

Serikali kwa kulitambua hilo imeambua kuongeza upana wa barabara hiyo inayotumika na wakazi wa Mbagala ambayo itakapokamilika itakuwa na barabara tatu hadi nne kwa baadhi ya maeneo hali ambayo itapelekea kuondoa kero kwa wakazi hao.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments