Saturday, August 4, 2012

USAFIRI WA BAISKELI YA MITI UNASAIDIA VIJIJINI

Kwa mtu aliyewahi kuishi kijijini huu ni usafiri unaowasaidia wanakijiji hasa wakiume kwa safari za shamba, kasoro yake ni kwamba unaendesheka kwenye miteremko tu ukifika kwenye mlima shughuli unayo haina kupekecha baiskeli ya aina hii.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments