Moshi Town ipo katika ramani ya muziki haswa wa kuruka madebe na vijana hawa BLING B na SHAX wanadhihirisha hilo kwa kuwakilisha mji wa moshi katika ngoma yao mpya ya NDEGE DUME, ambayo imetengenezwa Noizmekah Studios Sakina Arusha, chini ya producer Defxtro, bofya hapa uweze kuisikiliza Ndege dume
Published with Blogger-droid v2.0.10
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments