Pata kusikiliza kionjo toka katika wimbo wa JCB na MoPlus featuring Catrina "MA BRAND NEW", track ambayo itapatikana katika Mixtape ya "Makalla wa Ukoo" volume one yenye ngoma kibao toka kwa wakali hawa wawili,Bofya HAPA na endelea kusupport hiphop Music, WASHABKI wanaweza pia kujipatia Tshirt MbaliMbali toka Arusha "MOVEMENT", "TABIA MBAYA", "MAKALLA WA UKOO"
Published with Blogger-droid v2.0.10
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments