Wednesday, July 10, 2013

Sajna atoa Official new single "Ningekuwa Single" ft Ben Pol na Sisa Madini

Mkali toka Jijini Mwanza The Rock City SAJNA
ameachia official new song aliyomshirikisha
BEN POL na SISA MADINI wimbo unaitwa
NINGEKUWA SINGLE.
Originally idea ya wimbo huo imetoka kwa Kid
boy, na chorus imeandikwa na kid boy pamoja
na melody ya chorus.
Verse ya 1 ameandikwa Sajna, Verse 2
ameandika Ben Pol na Verse 3 imeandikwa na
Sisa Madini.
Executive producer ni Kid boy, Tetemesha
Records DSM.
Vocals za Sajna na Sisa zimefanywa One Love fx
Mwanza.

Published with Blogger-droid v2.0.10

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments