Msanii wa dancehall AkiliMali aungana na Paradise,Msanii wa bongo fleva mwenye makazi yake mjini Arusha kuunda "Same Same Girl" track iliyofanyikia Noizmekah Production,
Ngoma hiyo ya miondoko ya dancehall pata kuusiikiliza
HAPA na endelea kusapoti muziki wa Tanzania kwa mawasiliano,mahojiano zaidi check na Akilimali kupitia +255 767 955 405 powered by vmgafrica.com
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments