Msanii JOMRI anayefanya muziki wa Dancehall Arusha anazidi kuonyesha kipaji kwa kuandaa filamu iitwayo "Death Agent" ikiwa ni Arusha Movie Directed by Jomri & Kasim toka "SMART FILM PRODUCTIONS" & "PARADISE VIDEOS" huku Main Cast ikiwa ni Maponyoo, Toby, Mima pamoja na Jomri na wasanii wengine toka Paradise Arts Generation [P.A.G.E]. Location kuu ni maeneo ya Usa River na Danish Hostels Arusha huku theme ya filamu hii ikiwa ni Horror/Action/Dramatic film inayogusia mihangaiko ya maisha.For more info visit facebook.com/shiners classic or contact +255 758 329 913 email: chaviruka@gmail.com Movie hii ya Death Agent itazinduliwa mwezi wa Nane,stay tuned...
Published with Blogger-droid v2.0.10
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments