Wakati vyombo vya usalama vikipigia kelele swala la utunzaji wa Barabara zetu kuna baadhi ya madereva wenye nidhamu mbovu wanafanya mambo kama haya.
Ni utaratibu mzuri kuweka alama/ ishara ya kuashiria kuna tatizo ili madereva wengine wapate kupunguza mwendo lakini ustaarabu kwa wale wanaotumia matawi ya miti ni vema kuyaondoa baada ya tatizo kumalizika.
Published with Blogger-droid v2.0.10
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments