Inaonekana kama kuna tofauti kati ya MeccaCheka na JamboSquad,Chanzo haswa hakifahamiki vizuri ila kwa status hii ya MeccaCheka na majibu kadhaa toka kwa wadau, ni wazi kuwa anawazungumzia Jambo Squad, kupitia leo kitaa mdau mmojawapo amewaomba kwamba kama kuna tatizo wakati ndio huu ndio huu lisuluhishwe haraka,BEEF SIO ISHU..
Published with Blogger-droid v2.0.10
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments