Wednesday, July 10, 2013

Vatoloco mixtape

To all hiphop fans duniani hapa vatoloco
gangz wanadrop brand new ngoma inaitwa
HIZI FLOW ikiwa ni mixtape project
itakayodrop soon kwa mtandao, pata kuskiliza
joint hii HAPA ikiwa ni juu ya beat ya
mambele, support Tanzania hip hop.
www.vmgafrica.com/

Published with Blogger-droid v2.0.10

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments