Mshauri Mwelekezi masuala ya utawala
bora Bw. Wilbert Kitima akiendesha
mafunzo kwa washiriki wa Redio Jamii
yaliyofanyika mjini Kayanza, wilayani
Karagwe mkoa wa Kagera na kumalizika
mwishoni mwa Juma. Kushoto ni
Mshauri wa Radio Jamii kutoka UNESCO
Rose Haji Mwalimu
endelea hapa michuzi blog
Published with Blogger-droid v2.0.10
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments