Linex Sunday Mjeda!! Leo hii ameachia track yake mpya inayoitwa 'Kimugina'.
Wimbo huu mpya ambao Umetengenezwa studio za Seductive Rec studio ambayo imechukua nafasi ya kufanya vizuri kwa kipindi hiki baada ya kutoa ngoma kali mfululizo.
MR. T Touch producer aliyetengeneza ngoma hiyo ambayo linex ameonyesha umahiri mkubwa.
Linex msanii ambae watu wengi wanamuelewa vizuri na kumkubali ulalamikaji wake wenye hisia katika nyimbo zake kwa mara nyingine tena anaonyesha ufundi na ladha ya pekee yenye vionjo vya huba ndani yake.
Mwanadada Kimugina mtoto toka kanda ya ziwa anampelekea Linex kudondosha chozi la huba kwa jinsi anavyoumia juu yake.
My Blog Name
My Blog Name
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments