Monday, April 25, 2011

MTAANI KUNA MAMBO

Bora aweke vidabwada
Huyu nae ameotewa akiwa amezima baada ya gambe kukolea ni mmoja wa mastaa wa zenji jina linahifadhiwa

Kitu chali sababu ya kinywaji kilichopewa juna la muasisi

Huyu nae sijui hamu ????