Tuesday, September 28, 2010

WAZANZIBARI, KWANI HAYA YANAMILIKIWA NA NANI? MBONA HAYAKUMBUKWI AU HAYANA MWENYEWE NINI?

Jamani hapa ni maeneo ya Kikwajuni Zanzibar, kuna watu wanaishi katika Magorofa haya problem ni nini mpaka yapo hivi au ndio msisitizo wa kwamba ni urithi? Hebu serikali ijaribu kuya pa pa! angalau yapendeze au mnaoishi humo kama vipi jichangeni basi myapendezeshe au vipi jamani?

WAKATI MWINGINE NI KAMA UCHAFUZI WA MAZINGIRA

Hatimae gari limegeuka kuwa Tool Box

Sunday, September 5, 2010

UNA BISHA?

Hili ni jambo ambalo mtu huwezi kuliamini mpaka utapoloishuhudia.
Tunafahamu mbwa hana kawaida ya kuingia baa lakini kwa kizazi cha now mbwa baa wataingia tu hali ndio inaanza, Jiulize mara ngapi umeshakaa baa pembeni akatokea nyau aka paka Je wakianza nao tabia hii Bia zetu zitapona kweli?

WATAKA LIPIWA WEIYEE?

Haya huko kitaa mpango mzima ndio kama huo

Wednesday, September 1, 2010

Maeneo ya Soko kuu Zanzibar, maaraufu kama Darajani.

Si wachina tu kugonga ubwabwa kwa vijiti hata Zenji ipo staili hii.
Hata wanaume wanafanya shughuli ya kuosha vyombo.
Gari la punda likikatisha barabara.
Hiki ni kiwanja ambacho kinatumika kuchezea mpira pamoja na kusheherekea sikukuu mbalimbali.

Friday, August 27, 2010

SIO WATU TU WANAOWEZA KUSHINDANA MCHEZO HUU

Kilichojiri mitaa ya kati kwa wenzetu

Monday, April 19, 2010

Leo Kitaa Coming Soom Wapenda burudani wote get ready.