Tuesday, July 26, 2016

Je? Ubaya Itamrudisha Wanee Kwenye Headlines

Mwaka wa Shetani kama alivyoimba Mh. Temba na kufanikiwa kuteka hisia za wengi kupitia ngoma hiyo umekuwa na mitazamo tofauti kwa kila mmoja; 2015 umepita na mabalaa yake huku ukiacha historia na maumivu Makali kwa Msanii Wanee kukaa Bila Kuachia Hit Song
Pamoja na mambo mengine 2016 unaweza kuwa Mwaka wa Shetani kwa Msanii Hamis Amani Wengi wanamwita (Wanee) ambaye kwa Sasa Father Jams (Producer Freezo) ameamua kumrudisha kwenye mstari baada ya kukaa kimya muda Mrefu.
Sasa baada ya Wanee kuamua kuzaliwa upya kwa mara ya pili, taarifa ikufikie kwa sasa ufanyaji kazi wake wa zamani na sasa umebalilika, kivipi? nini sababu ya kufanya hivyo? Kesho Saa Kumi Tembelea Tovuti Hii Utamskia Wanee Akizungumza yote kwenye (UBAYA)

Msanii mpya kutoka Tongwe Records 'Tina'

Leo julai 26 Tongwe Records imemtambulisha mwanadada Tina na ngoma yake mpya aliyoipa jina la 'Muziki mzuri' iliyotengenezwa na producer Bin Laden.

Serikali ya Congo yachukua maamuzi mazito baada ya Koffi Olomide kurudi

Mwanazmuziki mkongwe Koffi Olomide ambaye alikuwa nchini Kenya julai 22 akiwa na wanamuziki wake pamoja na madensa wake watatu kwa ajili ya show alioatakiwa kuifanya siku ya jumamosi julai 23 wakati aliposhuka uwanja wa ndege wa Jomo Kenyata alimpiga densa mateke densa wake wa kike.

Leo julai 26 2016 ya Congo imemtia hatiani mwanamuziki huyo baada ya kuwasili kutoka nchini Kenya na kuhukumiwa miezi kumi nane jela.

Olomide amekuwa na makosa yanayofanana siku za nyuma

Mwaka 2012 aliwahi kuingia hatiani baada ya kumpiga producer wake na kuhukumiwa miezi mitatu jela.

Mwaka 2008 alimpiga camera man wa RTGA television na kuvunja camera yake katika tamasha mjini Kishasa.

Wednesday, July 13, 2016

Mkubwa na wanawe wamtambulisha msanii mpya Ge2 na wimbo wake "Sitaki Tararira"

Mkubwa na wanawe wamtambulisha msanii mpya Ge2 rasmi katika anga ya muziki Tanzania aja na wimbo "Sitaki Tararira.
Msanii mpya kutoka kundi la Mkubwa na Wanawe Ge2 ameachia wimbo wake wa kwanza "Sitaki Tararira" 

Wimbo uliofanywa chini ya studio za Mkubwa na Wanawe na Producer Shiriko umetambulishwa rasmi julai 11 na na sasa umekuwa gumzo kitaani kuwa muziki toka Temeke haukosi cha kuwagusa mashabiki.

Monday, July 11, 2016

Barakah The Prince Signs with ROCKSTAR4000

BARAKAH THE PRINCE SIGNS LONG-TERM DEAL WITH ROCKSTAR4000, PREPARING AN ALBUM FOR 2017

Thursday, 7th July 2016 – Barakah The Prince, formerly known as ‘Barakah Da Prince’, has signed a full rights multi-year worldwide deal with the leading Pan African music entertainment group ROCKSTAR4000, and joins the company’s dynamic Record Label and Management divisions respectively.

"I am so excited to start this new chapter in my music career with a great record label and management team, there is no doubt that this is the beginning of a very important partnership for me” noted Barakah The Prince.

Barakah The Prince first priority will be to be to record his highly anticipated debut commercial album set for release in 2017. He has already started creating several singles he’s wanted to pen down and record since his earlier childhood years. Barakah The Prince will be the third artist from Tanzania to sign a full rights multi-year deal with ROCKSTAR4000 alongside East African superstars Alikiba (King Kiba) and Lady Jaydee (Queen Jide) making him the ‘Prince’ to this leading Pan African music entertainment company and ‘royal family’ of some of Africa’s biggest Rockstars.

In a very short career to date, Barakah The Prince has already achieved stellar success with three ofhis recent singles - “Siachani Nawe”, “Nivumilie” and “Siwezi” - all charting straight to number one in Tanzania across both radio and TV charts making him the fastest rising star of the year in East Africa and the “Artist to Watch” as highlighted by music channel MTV base. Barakah The Prince continues to earn No. 1 singles on media charts and in addition received the accolade of walking away with the coveted trophy at the Kilimanjaro Tanzania Music Award for ‘Best Upcoming Artist in 2015’.

“We are thrilled to welcome such as multi-talented star as Barakah The Prince to our family of Rockstars and embark on this journey together highly energized for an amazing musical journey” noted Jandre Louw, Founder & CEO, ROCKSTAR4000.

“Barakah The Prince is without doubt a highly talented major rising star, with several mega hits already behind him, and we are excited to be part of this amazingjourney and partnership with him in taking his music and brand to even greater heights and to the legions of fans across East Africa, Africa and the world!” says Seven Mosha, Director of Talent & Music, ROCKSTAR4000.

Tuesday, July 5, 2016

Matunda mwezi mtukufu wa Ramadhani


Msanii wa bongo muvi King Desamo aachia hit song "Ugali Kunguru"


Msanii maarufu wa bongo muvi King Desamo aachia wimbo wake "Ugali kunguru" aliomshirikisha Nyota.

Wimbo huo umetengenezwa na producer Hassa B katika studio za Tone records akiwa anaelekea kukamilisha albamu ya kwanza itayobeba jumla ya nyimbo 25 itakayotoka mwishoni mwa mwezi huu.

Desamo alianza kujihusisha na muziki mwaka 1996 akiwa na umri wa miaka 15 kabla ya kuwa muigizaji, mwaka 1999 kwa mara ya kwanza alikutana na producer Kameta kinondoni jijini Dar es Salaam na kufanikiwa kurekodi wimbo "mambo bayana", mwaka 2000 alirekodi ngoma nyingine Fm Studio chini ya producer Double B wimbo aliouita Utajidai Vipi? 

Kwa sasa ni muigizaji mahiri mwenye filamu zaidi 6 ikiwemo Emorata, Hasidi, Back to Life, Enternal Love, Ampicilin, Bado Natafuta, Tajiri Mfupi, Siku Itafika, Elisheva na nyingine.
Kava ya Back to life

Saturday, July 2, 2016