Monday, August 12, 2013

Wasanii watakao miliki steji la Serengeti Fiesta 2013 Kigoma


Msimu mpya wa Fiesta 2013 umeshaanza
na Kigoma ndiyo imepewa nafasi ya
kufungua msimu huu. Hii ndiyo list ya
wasanii ambao watakaopanda kwenye
stage ya Fiesta 2013 Twenzetu ndani ya
Kigoma. Listi ni ndefu, so jipangeni na
team nzima ya Clouds itakuwa pande hizo.
List inaenda kama hivi.
A.Y
T.I.D
Cassim Mganga
Barnaba na Amini
Mwana F.A
Godzilla
Young Killa
Ney Lee
Stamina
Shet a
Shilole
Weusi (Joh,Niki wa Pili, G nako)
Chege
Temba
Madee
Recho
Linex
Peter Msechu
Baba Levo
Makomando
Chanzo millardayo.com

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments