Thursday, September 19, 2013

Dugiz Nyuki amshirikisha Bounako "Hustle and Gangsta


Dugiz Nyuki akimshirikisha Bounako katika mkono " Hustler VS Gangsta" ilopikwa Chimbo Records Moshi pamoja na Noizmekah studios Arusha,pata kuusikiliza/Download HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Dugiz kupitia www.vmgafrica.com --DugizNyuki FT Bounako-Hustler Vs Gangsta

Official video Bizmc


Round hii ni official video ya msanii BizMc toka Simple guys pande za Ngaramtoni, Arusha ikiwa ni kioo toka Hoodpixx Arachuga. kwa mawasiliano zaidi check www.vmgafrica.com

VIDEO BizMc ft Tolu Mnyama & Mokil-Tunawapa Mnyama & Mokil-Tunawapa

THE BEAT FESTIVAL Friday 6th of September (Oysterbay, Dar es Salaam)


Friday 06.09.13

20.00-01.00

Venue: Triniti, Msasani rd. 26, Oysterbay DSM

Entrance: 10.000 tsh only

Lineup:

BAIKOKO – traditional / urban

Their name comes from a traditional dance style, which originates from Tanga. The style has taken Dar es Salaam by storm and left the media and audiences in difference of opinion over the explicit sexual dance style. The music is an urban, localized style of Taarab, based on percussion and led by the unique blown-instrument called “boya” which is a sea buoy attached with a drain pipe which creates a bassline that interlocks with the percussion.

KIFIMBO - reggae

Kifimbo is an upcoming reggae star on the Tanzanian scene. During the recent reggae festival in Iringa he stole the show with his energetic performance. We look forward to welcoming a new act onto the Dar es Salaam scene.

MZUNGU KICHAA – urban

Mzungu Kichaa plays guitar and sings in Swahili and English. Debuting in 2009 with his album Tuko Pamoja, Mzungu Kichaa and his band Bongo Beat have created a unique style of Congolese inspired Bongo Flava. Mzungu Kichaa and the band have just returned from a tour in Europe where they performed at a number of summer festivals.

THE BEAT is powered by: Caravan Records, Radio France International (kiswahili) and Goethe - Institut Tanzania.

Info: CRTanzania@gmail.com

web: www.facebook.com/TheBeatFestival

Kama kawa


The legends are ready to rock with you every friday & saturday @ isumba lounge(jollies club) From right to left DJ John Dillinga aka the legend is back, DJ Fast Eddy and the guest DJ Flex from the UK.Doors open 9pm entry 10k. Dont forget to let ur friends know about it

Wednesday, September 18, 2013

Victor John aka Veejay na Album ya "Nimezaliwa Tena"


Victor John aka Veejay msanii chipukizi katika muziki wa injili, amebarikiwa kukamilisha album yake ya kwanza na anafurahi kuwatangazia wapendwa katika bwana Album ya "Nimezaliwa Tena" inayotambulishwa kwa single ya MBELE KWA YESU,download HAPA Album kamili ina nyimbo nane na tracks kumi jumla sasa itapatikana kote nchini kwa mawasiliano naye Victor John kwa simu nambari +255 716 941 696 ,Support Muziki wa Injili,Support Hiphop Gospel kwa kununua kazi halali www.vmgafrica.com Victor John ft Catrina-Mbele kwa Yesu

Wakubero ft JamboSquad-Mwerevu siafu


Wakubero aka Jeshi la Mbung'o wanadrop Bounce jipya kabisa kwa jina "Mwerevu siafu" toka studio za Noizmekah Arusha chini ya Defxtro, humu pia sauti za Maalmando zimesikika vizuri akiwemo Nigga C Pamoja na Ordinaly, Download ngoma HAPA na kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na Wakubero kupitia www.vmgafrica.com ---Wakubero ft JamboSquad-Mwerevu siafu

Jambo Squad-Machungwa KIONJO-SNIPPET


Jambo squad warejea tena baada ya Tukunyema, pande za Noizmekah kurecord dude jipya kwa jina "Machungwa" ,Tempo zile zile za kulimia Hela na manjeree kuruka kopo hadi pakuche dwas!!!pata kionjo HAPA www.vmgafrica.com ---Jambo Squad-Machungwa KIONJO

Tuesday, September 17, 2013

PRESS RELEASE “Muonekano wa Busara Promotions: Mikakati na mipango ya Miaka 5 ijayo ya Sauti za Busara”

16 Septemba 2013

Busara Promotions ni Taasisi inayoandaa tamasha la muziki la Sauti za Busara, ikishirikiana na bodi ya wadhamini, uongozi, wafanyakazi pamoja na wageni kutoka sekta ya sanaa na utamaduni Tanzania waliokutana mwishoni mwa wiki kupanga mikakati na mipango katika hoteli ya Bluebay Beach Resort iliyopo Kiwengwa, Zanzibar ili kupitia mafanikio ya muongozo uliopita na kupanga mikakati na shughuli ya miaka mitano ijayo.

Monday, September 16, 2013

Tamasha kubwa



Katika Tamasha hilo Wamealikwa Wasanii mbali mbali wa muziki wa Bolingo, Kizazi Kipya, Taarabu, Maigizo, Ngonjera na Mashaili, kutoka kwa wanafunzi mbalimbali hapa Nchini kwa kushirikiana na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam,University of Dar es Salaam (UDSM), Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tanzania International Univarsity(TIU) chenye makao yake makuu nchini Marekani

kwa waliokosa kupata ngoma ya BigNation Nitoe Lock,


kwa waliokosa kupata ngoma ya BigNation Nitoe Lock, ilopikwa noizmekah studios chini ya defxtro,pata kuusikiliza au kudownload HAPA na pia download wimbo wa Massawe HAPA kwa Mawasiliano zaidi check na GfayaFaya kwa simu nambari +255 756 730 356 powered by www.vmgafrica ------BigNation-Nitoe Lock http://goo.gl/04nRxJ BigNation-Massawe http://goo.gl/fmg6z7

Sunday, September 15, 2013

Man Simba msanii chipukizi atoa wimbo wake


Man Simba msanii chipukizi ameachia wimbo wake unaitwa WEWE NO.1 aliomshirikisha Vumbe.
Ngoma hiyo amefanyia Kiumbe rec Producer STAR JAY ndio amesimamia mapishi ya track hiyo.

Saturday, September 14, 2013

Brand new hit Babulwa ft Xauu, "Shori Faya"


Brand new dancehall toka kwa Babulwa ft Xauu, "Shori Faya" ilorekodiwa Noizmekah chini ya Defxtro,pata kuisikiliza/Download HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Babulwa kwa simu nambari +255 756 671 296 powered by www.vmgafrica.com Babulwa ft Xauu-Shori Faya

At Zimbabwe boder dj dk b

Vumbe atoa wimbo mpya 'Wakitambo kamshirikisha Mamaa White

Friday, September 13, 2013

Majanga

Saturday, September 7, 2013

Washindi wa Punch kwa Mtaa "PapaaDolaa & Chedu2R"


PapaaDolaa & Chedu2R na ngoma "Michano" ikiwa ni Nafasi waliojishindia katika Msimu wa kwanza katika shindano la PUNCH KWA MTAA, inayoendeshwa na DJ Mwaka ndani ya MJ FM Radio,hawa ni wawili kati ya washindi wanane jumla katika Round ya kwanza zawadi kuu ikiwa ni Kurekodi nyimbo katika Studio ya Noizmekah. Pata kudownload HAPAna kwa mawasiliano zaidi check na Papaa Dolaa kupitia +255 753 470 004 www.vmgafrica.com -PapaaDolaa & Chedu2R-Michano

Friday, September 6, 2013

Thursday, September 5, 2013

AY achaguliwa tena kutwania tuzo za Chanel 0 mwaka huu


Nguli wa muziki wa kizazi kipya Tanzania, Ambwene Yesaya (AY)
ametajwa kuwa miongoni mwa wasanii watakao
wania tuzo za muziki Channel O, kwenye kundi
la kutafuta Video Bora Ya Mziki Afrika
Mashariki (Most Gifted Video East Africa).
AY atashindania tuzo hio na wasanii
wengine ambao ni P-Unit feat. Collo- You Guy
(Dat Dendai), Radio and Weasel- Can’t Let You
Go, Sauti Sol- Money Lover, Navio- Kata.
Na A.Y akiiwakilisha Tanzania na nyimbo
yake ya Party Zone aliomshirikisha muandaaji wa muziki wa MJ rec. Marco Chali.

Taarifa toka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro


Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
(NCAA) ina utaratibu wa kushirikiana
na jamii zinazozunguka hifadhi, ikiwa ni
pamoja na asasi za kiraia, taasisi za
serikali, mahospitali, mashule, na vijiji
kote nchini kwa kuchangia katika
shughuli zao za maendeleo. Michango
inayotolewa na Mamlaka inalenga
kuwawezesha wananchi kupitia vijiji,
asasi, ama taasisi husika kwa kusaidia
miradi mahususi iliyoainishwa kupitia
maombi yao kwa Mamlaka na
kupitishwa ofisi ya Mhifadhi Mkuu.
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
inatoa misaada hiyo kama sehemu ya
majukumu yake ya kushirikiana na
wanajamii (corporate social
responsibility). Aidha, Mamlaka
imeendelea kutoa misaada hii kwa
kutegemea uwezo wa kifedha, mkazo
mkubwa ukiwa kwenye miradi ya Jamii
zinazozunguka hifadhi, na vilevile,
kusaidia miradi, majanga, na shughuli
zingine kote nchini. Kulingana na
maombi na uwezo wa fedha wa
Mamlaka.
Hivi karibuni kumetokea taarifa potofu
kwenye vyombo vya habari na mitandao
ya kjamii kwamba Mamlaka ya Hifadhi
ya Ngorongoro inatoa msaada hiyo kwa
baadhi ya Taasisi kwa mashinikizo ya
kisiasa, taarifa ambazo hazina ukweli
wowote na zina lengo la kufarakanisha
Mamlaka na Wananchi ambao
wamekuwa wakipokea misaada ya
kibinadamu na kimaendeleo kwa kupitia
utaratibu wa ujirani mwema wa
Mamlaka.
Habari hizi zinasikitisha, na si sahihi.
Tunapenda kutoa rai kwa umma
kwamba Mamlaka ya Hifadhi ya
Ngorongoro itaendelea na jukumu lake
la kusaidia jamii mbalimbali nchini,
ikiwa ni pamoja na kuendelea kushiriki
katika shughuli za maendeleo, na
kuwanusuru wananchi pale ambapo
majanga yanatokea kama ilivyokuwa
katika milipuko ya mabomu iliyotokea
katika Jiji la Arusha hivi karibuni.
KAULI MBIU YETU
“UTALII UANZE NA MTANZANIA
KWANZA”
Imetolewa na Kaimu Mhifadhi
MAMLAKA YA HIFADHI YA
NGORONGORO

Fedhea la bunge la Watanzania


Askari wa Bunge la Jamhuri wa
Muungano wa Tanzania wakimdhibiti
Mhe mbunge wa Chadema jimbo la Mbeya
Mjini, Mhe. Joseph Mbilinyi
ndani ya bunge wakati akitolewa ndani
ya ukumbi wa bunge hilo mjini Dodoma jana.
Soma hapa

Made in Tanzania



Mwanadada Zawadi Boha akiwa katika pozi la kitaa

Published with Blogger-droid v2.0.10

Monday, September 2, 2013

Sunday, September 1, 2013

KCK ft MoPlus-BigidiBoost


KcK wanadrop "BigidiBoost" wakiwa na MoPlus aka Baba Wa Ukoo,Hii ni single itakayokuwepo katika Album ya "Nil-Vil " itakayodrop mtaani mapema mwezi wa Tisa,maarufu zaidi kama Nilivyoviharibu Vilivyoniharibu.Download HAPAna kwa mahojiano/Mawasiliano zaidi check na Legendary SpacDawg na Boox kupitia +255 754 970 956 au +255 765 022 224 www.vmgafrica.com -KCK ft MoPlus-BigidiBoost

G-nako ft Henry-WaraWara na Mpira (Mr Lover)


Ngoma inaitwa WaraWara na Mpira (Mr Lover), wimbo mpya wa G-nako akiwa amemshirikisha Henry,toka Wakwetu Jazz Vibe, Kazi ikiwa ni pishi la studio mbili, Noizmekah Arusha kwa Defxtro pamoja na B records kwa Chizan Brain, download HAPA ,kwa mawasiliano/Mahojiano/Bookings check na Gnako kupitia +255 715 593 041 www.vmgarica.com -G-nako ft Henry-WaraWara na Mpira

Ruler ft SpacDawg & Nutcracker-Peperusha Beef


Msanii Ruler toka crew ya MIB pamoja na Nutcracker wakiwakilisha umoja wa Vichwa Pamoja, Sakina kwa Iddi pande za Arusha,wamshirikisha legendary SpacDawg katika ngoma yao mpya "Peperusha Beef" ilosukwa pande za Noizmekah Studios, download HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Ruler wa MIB kupitia +255 752 513 923 www.vmgafrica.com -Ruler ft SpacDawg & Nutcracker-Peperusha Beef