Sunday, August 31, 2014

POLISI UJERUMANI WAMUOKOA DIAMOND KUTOKA KWA WASHABIKI WENYE HASIRA ! KASHINDWA KUWIKA STUTTGART KISA KAFIKA UKUMBINI SAA 10 ALFAJIRI ! WASHABIKI WANASURI SHOW TANGU SAA 4 USIKU

PROMOTA MNAIJERIA AINGIA MITINI ,DJ APATA KISAGO ETI VYOMBO VIBOVU

Ukumbi ulivyovurugwa na mashabiki

Stuttgart,Ujerumani, Usiku wa Jumamosi ya Tarehe 30.Augost 2014, majira ya saa 10 alfajiri Mwanamuziki nyota wa Bongo Flaver Nasib Abdul aka Diamond Platnumz alijukuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi mjini Stuttgart,ujerumani,baada ya washabiki waliokuwa na hasira kuchoka kusubiri show,washabiki hao waliokuwa wamelipa ticket euro 25 kwa kiingilio walihadiwa kuwa show ingeanza saa 4.00 usiku,lakini walijukuta wakisubiri hadi majira ya saa10 usiku au alfajiri ndipo mwanamuziki Diamond alipoletwa jukwaani na promota wake raia wa Nigeria anajiita kama Britts Event. Hapo ndipo washabiki walipoona kuwa hawakutendewa haki walianza kurusha chupa na kutaka kumvamia mwanamuziki Diamond na promota wake, Kilichowakera zaidi washabiki ni pamoja na vyombo vibovu vilivyofungwa katika ukumbi huo kitu ambacho kiliwafanya washabiki kuvunja hadi vyombo vya muziki ma-Djs walishambuliwa na wapo Hosptalini kwa sasa.moja wa Djs hao alipoteza Lap top yake ,mwanadada DJ Flor alipatwa shock mstuko wa moyo na kukimbizwa hosptali, washabiki hao walimpa kipigo DJ Drazee naye yupo hoi hospatal. Polisi nchini ujerumani wanamesema tukio hili la haibu alijawahi kutokea,kuwa msanii kuchelewa kufika jukwaani kwa ujerumani ni kitu cha hatari kwani washabiki wa ujerumani wanaheshimu sana muda wao. mpaka sasa polisi wanamsaka mwandaaji wa onyesho hilo na wamesema kuwa wanachunguza thamani ya hasara hiliyosababishwa na ghasia hizo na pia itamfungulia mashataka promoter huyo raia wa Nigeria,ambaye pia anachunguzwa kwa kusemekana anajihusisha na mtandao fulani wa biashara.

Magazeti ya Stuttgart; yameandika "Washabiki wa hasira nawe DIAMOND"
link:

Saturday, August 30, 2014

Friday, August 22, 2014

Dj Dr B akiwa amechil

Picha ya leo

Usininyooshee kidole....


TaraaMafaya akiwa pamoja na ElevenDj Gfaya & Son na katika wimbo wake mpya "Usininyooshee kidole" download hapa

WABIBI feat MESEN SELECTA KITENGE


Keep download and listen to this good music of pathetic artist ever.
And support to his work

Sunday, August 17, 2014

Mwasity FT Lamar Serebuka Soulful refix

Vumbe aachia ngoma mpya "Dun​duliza"

Ngoma mpya ya Barnaba ft Lamar "Am Sorry"

"Nitarudi" by Mic Lon ft Ben Pol

New song from Tanzania hiphop artist, Mic Lon featuring Ben Pol.


One of the songs released from Mic Lon's upcoming album, that is set to be released by the end of 2014.

Friday, August 15, 2014

Nakaaya aingia katika KUFOKA sasa

Mdada anaitwa Nakaaya Sumari,kwa mara ya kwanza utamsikia aki-RAP Katika Mamong'oo remix ya Jambo Squad itakayopatikana rasmi Jumatatu Tarehe 18 Agosti HAPA https://mkito.com/artist-profile/jambo-squad/330 PEKEE... Ukihitaji wimbo usio na matangazo mwanzoni,bofya kitufe cha NUNUA badala ya BURE wakati wa kupakua,na upate wimbo halisi usio na matangazo

BOB JUNIOR & ROMA - MAUMIVU



Nick wa Pili na Mamong'oo Remix

Anaitwa Nikki wa Pili aka Nick Mweusi,mwingine kati ya wasanii waliowakilisha ndani ya Mamong'oo remix ya Jambo Squad itakayopatikana rasmi Jumatatu Tarehe 18 Agosti HAPA https://mkito.com/artist-profile/jambo-squad/330 PEKEE... Ukihitaji wimbo usio na matangazo mwanzoni,bofya kitufe cha NUNUA badala ya BURE wakati wa kupakua,na upate wimbo halisi usio na matangazo kabisa kwa 250/=Tsh TU follow @nikkwapili