Monday, July 16, 2012

AJALI MAENEO YA MNARA WA MBAO ASUBUHI YA LEO

Daladala iliyopata ajali
Watu wakishangaa ajali
Gari iliyogongwa na daladala wakati dereva wa gari hiyo anaingia barabara kubwa.
Abiria wakipanda kwenye daladala nyingine baada ya kushuka salama kwenye daladala iliyopata ajali
 

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments