Saturday, July 14, 2012

JOSE CHAMELEON KUPAFOM ZIFF LEO

Jose Chameleon akiwa kwenye interview Coconut fm kupitia Shusha Fleva na Ramysom Madoro muda mfupi baada ya kutimba Zanzibar tayari kwa ajili ya kutoa burudani kwenye tamasha kubwa la nchi za majahazi ZIFF linaloendelea katika viwanja vya ngome kongwe msimu wa 15.
Chameleon akiwa katika interview
Mtangazaji wa kipindi cha Shusha Fleva Coconut fm Ramyson Madoro akimtwanga Jose Chameleon maswali kuhusiana na ujo wake wa Zanzibar wa kupiga show kwenye tamasha kubwa Afica ZIFF. 
Husein Hamis & Chameleon
Husna B & Chameleon
Hamida Maalim & Chameleon
Dj dr_b na Chameleon
Big Joe akishow love na Chameleon baada ya mazungumzo mafupi
Baada ya kumaliza interview Chameleon alitoka nnje na kubadilishana mawazo na eskota aliokuja nayo

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments