Thursday, July 12, 2012

FAHAMU UMUHIMU WA SENSA

Kutoka leo kitaa hapo hapo ulipo jiandae kuwa mmoja wa wanaotambulika na serikali yako inayokupenda ya Tanzania kwa kuwa miongoni mwa watu watakaohesabiwa mwaka 2012. Kumbuka zoezi hili linafanyika kila baada ya miaka kumi.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments