Tuesday, July 17, 2012

EFFECT ZERO WAACHIA MZIGO MPYA...EFFECT ZERO

Effect Zero, kundi la wanadada wawili wanyamwezi toka arachuga wanadrop again na Anthem mpya "EffectZero" ngoma ya hiphop inayowaelezea zaidi kama kundi kimziki,"this is a hiphop joint we recorded at noizmekah.com kwa def na we know y'all gonna love it"asema Simaloi.Kundi hili lenye maskani yake pande za Njiro Arusha linafanya music kwa lugha ya kiingereza kwa lengo la kuteka soko la kimataifa zaidi na wapo mbioni kushoot video ya kwanza ambayo bado haijafahamika ni ya ngoma gani."We really need y'all support kwa sana in promoting our music,we work hard for our fans" says Doraine.all in all big up sana tu kwa Batoo entertainment & Jamdropa deejays plus media zinazosupport muziki wetu,we love yall....Sikiliza mzigo huo hapa...
...

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments