Hili ni eneo dogo lisilozidi hata mita 30 lina zaidi ya miaka miwili sasa linaonyesha kuwashinda wahusika kulirejesha katika hali yake kama ya mwanzo.
Eneo hili ni maarufu kama kilimani baa limefanyiwa matengenezo zaidi ya mara 6 kwa mwaka 2012 peke yake ni si chini ya mara 3 hadi leo na mara ya mwisho ni jumamosi iliyopita,
Ukuitaka kuamini kwamba ni eneo lililoshindikana pita baada ya wiki moja utaona hali ilivyo, pili wanaopewa kazi ya kutengeneza hapa wanatuchafulia mazingira tu kwa kuweka vumi kwenye lami.
Habari zaidi kuhusu eneo hili tembelea http://zee-town.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments