Thursday, July 12, 2012

JOSE CHAMELEON KUPAFOM KATIKA TAMASHA LA ZIFF JUMAMOSI HII

Kutoka nchini Uganda msanii anaefanya vizuri sana Africa Mashariki Jose Chameleon anatarajia kutua Zanzibar soon kwa ajili ya kupafom katika tamasha la 15 la nchi za majahazi ZIFF linaloendelea katika ukumbi wa ngome kongwe likiwa lina siku 6 mpaka leo na mastaa kibao wamekwisha pafom akiwemo Wahu kutoka nchini Kenya, AT kutoka Tanzania, Diamond, Sultan King na wengine kibao.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments