Foleni ya darajani mchana wa leo
darajani mchana wa leo
Darajani ndio sehemu kubwa inayotegemewa na wakazi wengi wa mjini Unguja kwa kujipatia huduma mbalimbali za kijamii.
Soko kubwa la vyakula lipo darajani pamoja na maduka mengi ya nguo, vyakula na mahitaji mengine pia yapo darajani hivyo Imekuwa ni kawaida kwa kipindi kama hiki cha kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani kuwa na mkusanyiko wa watu wengi na wafanyabiashara kuongezeka hali inayopelekea foleni ya magari kubwa kubwa.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments