Baada ya muda kadhaa Chief Elia alifanikisha zoezi hilo lililomtoa jasho kiaina na kuingia studio hapo na kuwasha mitambo tayari kwa ajili ya kuwasikilizisha wasanii walikuwapo hapo baadhi ya kazi mpya alizofanya: Rico single, Ismail, Cool Kaka aka Mafian Rapa na Dj Dr B.
Producer huyo akifungua software aina ya studio one anayotumia kufanyia mixing
Chief Elia alikuwa makini baada ya kuplay ngoma Muba Criss aliyomshirikisha Rico Single kwa ajili ya kumsikilizisha Rico Sinlge mwenyewe pamoja na wasanii wengine walikuwepo hapo. Katikati ya nyimbo utamu umekolea mara umeme huo umesepa watuu ayaaaaaaaaaaa.
Chief umepanikiiiiiiii
ReplyDelete