Friday, March 13, 2015

MKUTANO MAALUM WA WADAU WA FILAMU ZA MAADILI


MKUTANO MAALUM WA WADAU WA FILAMU ZA MAADILI WASANII,WATAYARISHAJI, WASAMBAZI,WATAMAZAJI NA WAANDISHI WOTE MNAKARIBISHWA

Asalaam Alaaikum Warhmatullah Wabarakatuhu Tunapenda kuwajulisha wadau wa maadili movies nchini kutakuwa na mkutano wa mkubwa utakaofanyika tarehe 31 Mai 2015 kuanzia saa 2.00 asubuhi ukumbi wa Jaffar Complex uliopo Mnazi mmoja jijini Dar es salaam

AGENDA ZA MKUTANO

Kuandaa daftar la orodha ya wasanii na kuchagua rasmi aina ya mfumo wa filamu zetu na mengineyo Kuchagua uongozi wa wa muda uliona mpangilio rasmi na kuupa majukumu likiwepo la Kuanzisha mtandao wenye hamasa na mwelekeo kwa wassii wote wa maadili Africa mashariki na Africa kwau ujumla Kushirikiana na kujenga na kuunga mkono kuimarisha soko la filamu Tunapenda kuaalika waandishi wa habari watunzi waongozaji wasambazaji na hata watazamaji wa filamu za maadili wasanii wote nchini tunawaalika ila stara ya mavazi kwa wanawake izingatie muhimu kwa wanawake "Maadili Movies Lengo ni kusimamia ulinzi wa maadili mema kupitia filamu za Kitanzania, kuazisha, kuendeleza na kuhamsisha uwepo na ukuwaji wa filamu zenye heshima, zinazozingatia maneno, matendo na mavazi yenye maadili." Tuwe pamoja wana
BURUNDI
RWANDA
KENYA
UGANDA
CONGO
TANZANIA na AFRICA KWA UJUMLA
Kwa mawasiliano ya simu kwa wale watakaoshiriki kutoka nchi tofauti tofauti pamoja na nchini ,Tafadhali tuwasiliane kwa simu kwa namba zifutazo: 00255 773 950 250 00255 715 305 528 00258 878566 042 00255 783 70 77 06
http://www.maadilimovies.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments