Monday, March 17, 2014

The brand new hit "Mapenzi Yako" ya Innocent Mkumba imedondoka kitaa


Kutoka One Love FX studio ngoma mpya ya Innocent Mkumba ambayo amemshirikisha mkali kutoka jiji kasoro bahari Belle 9 "Mapenzi Yako" imeingia kitaani rasmi leo.
Ngoma hiyo ambayo imesimamiwa vema na producer Tiddy Hotter imeandikwa na Mkumba na ni miongoni mwa hit ambayo inatarajiwa kutikisa kila kona mtaani.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments