Rapper kutoka kundi la WestPasu anajulikana kama BigDaddy Don aka Malai Junior anaewakilisha vema mkoa wa Moshi ameachia brand new hit inayoitwa "Ma Life"
Ngoma amerekodia Arusha, katika studio za Noizmekah chini ya Producer Defxtro,
Ngoma hii ni Hiphop yenye kionjo kidogo cha kuimba kutoka kwa mchizi mkali wa kusimamia chorus, Chozi.
Pata kuwa wa kwanza kudownload na kusikiliza
HAPA
Kwa mawasiliano na mahojiano zaidi na Big Daddy Don check naye kwa Simu nambari +255 763 302 950
www.vmgafrica.com
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments