
Juma Kaseja.
Na Mashaka Baltazar, Mwanza
BALOZI wa Pepsi, Juma Kaseja ni miongoni
mwa wa wadau wa soka walioalikwa
kushuhudia fainali ya kuwania kombe la
Meya wa Jiji la Mwanza ( Meyor’ s Pepsi
Cup ) , Stanslaus Mabula.
Mlinda mlango huyo namba moja wa timu
ya taifa ( Taifa Stars ) ataungana na Naibu
Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na
Michezo, Amos Makala Katibu Mkuu wa
TFF na Angetile Osiah.
Wengine ni Memeya wa Majiji na Miji ya
Dar es Salaam Jerry Slaa, Gaudensi Lyimo
wa Arusha , Kapinga wa Mbeya , Omari
Nondo wa Morogoro , Moshi na Bukoba.
Fainali hiyo itafanyika Agosti 10 mwaka huu ambapo bingwa atajinyakulia....endelea hapa
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments