FidoVato toka Vatoloco the red anadrop full package ya "Biz Za Machiz" ikiwa ni Audio & Video project ilorekodiwa Noizmekah Studio na video pia kufanywa Noizmekah-Hoodpixx VMG chini ya Defxtro, Pata kudownload ngoma
HAPA Video link Hii ni Hardcore Hiphop Material for all the real Hiphop Fans in the world, Kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na FidoVato kupitia www.vmgafrica.com
Biz Za Machiz AUDIO-
Biz Za Machiz VIDEO-
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments