Mwanadada rapper HD aka HighDefinition, toka Arusha akiwakilisha mererani anadrop na goma "Nakupenda" akiwa ameshirikiana na mwanadada mwenzake "Emmy D" katika kiitikio, ngoma ni club banger toka studio za Noizmekah Arusha, Pata track kamili HAPA na endelea kusupport bidhaa za sanaa ya Tanzania,kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na Mwanadada HD kupitia +255 755 835 883 link
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments