Peter Okoye wa P -Square amemvisha pete
Lola Omotayo ambaye ni mama wa watoto wake wa wawili. Peter alikuwa kwenye mahusiano na Lola Omotayo kwa muda
zaidi ya miaka saba . Jamaa huyu wa P-Square alimvalisha pete girlfriend wake na
kumpa zawadi ya Range Rover Evoque mpya kabisa baada ya kukubali pete yake.
Cheki picha jinsi mambo yalivyenda wakati
Peter akijipatia mchumba.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments