Kama ulikosa ngoma ya kundi chipukizi "Cash Clan" toka pande za Arachuga ikiwa ni single yao matata mahadhi ya club banger ama "bounce" kama wengi wanavyoziita,mdundo ukiwa ni track ya "YoungCash" Kiongoz wa kundi la Cash Clan akiwashirikisha "JYP" pamoja na "Mjukusalo" Ngoma inaitwa "Fikra Zangu" ambayo kwa mara ya kwanza walitua pande za noizmekah.com kwa defxtro na kurekodi ngoma hiyo ambayo November 2012 ilidondoka kitaani rasmi DOWNLOAD HAPA na endelea kusapoti muziki wa kwetu.
Kwa mawasiliano 0655700947 kwa Interview/Bookings....
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments