Katika Video ya ngoma mpya ya Godzilla aliomshirikisha msanii mkali kutoka ze original comedy Joti alioipa jina la “Lakuchumpa”,sasa ipo live kideoni.
Mkali wa comedy Joti afanya mbwembwe zake za kutosha ndani ya video hii.
Isake sasa upate kuona mbebwe za joti.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments